Winners Tour 2018 Inaendelea katika Mkoa wa Ruvuma.
Winners Tour ni project inayofanywa na Fundisha Tanzania Initiative yenye lengo la kuhamasisha umuhimu wa elimu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Kwa sasa Winners Tour inaendelea katika mkoa wa Ruvuma na wilaya zake zote.
No comments:
Post a Comment